Is he your role model? basi unapaswa kutambua muonekano wake awapo kitaani!! He is mostly into Tshirt and Jeans and SUPRA is one of his favourite brand
Tuesday
How to be A good best man: Msimamizi wa Ndoa
Kuna mambo mengi muhimu za kuzingatia endapo utachaguliwa kuwa Best man wa harusi ya rafiki yako, ndugu yako wa karibu au muumini mwenzio wa dini au dhehebu lako. Watu wengi wamekuwa wakifikiri kuwa best man simply means standing next to the groom during the wedding ceremony. Inabidi kufikiria kwa makini, Best man anamajukumu mazito sana katika kutekeleza kazi yake kipindi cha harusi ya mhusika, moja wapo ya mambo ya muhimu kufanya ni haya yafuatayo:
1.Before the wedding (kabla ya harusi) Best man unapaswa kufatilia kwa makini utaratibu mzima wa bachelor party kama ipo na kuhakikisha kuna vitu vya muhimu au vya kufurahisha mpaka kumfanya bwana harusi kutokusahau usiku wake wa mwisho kama bachelor ulikuwaje? kama hili ni swala gumu tafuta baadhi ya watu ambao wamewahi kusimamia harusi na uombe wakueleze uzoefu wao walionao katika hilo.
1.Before the wedding (kabla ya harusi) Best man unapaswa kufatilia kwa makini utaratibu mzima wa bachelor party kama ipo na kuhakikisha kuna vitu vya muhimu au vya kufurahisha mpaka kumfanya bwana harusi kutokusahau usiku wake wa mwisho kama bachelor ulikuwaje? kama hili ni swala gumu tafuta baadhi ya watu ambao wamewahi kusimamia harusi na uombe wakueleze uzoefu wao walionao katika hilo.
2.On the wedding day(Siku ya tukio)
Mimi kama wedding planne wenu ningependa sikuhiyo mlale hotelini wewe na groom wako ili kuhakikisha mnapata muda mzuri wa kupumzika bila stress au kelele za wanandugu ambao watakuwa wamekuja nyumbani kuungana na nyinyi kwa ajili ya hili tukio. Kulala hotelini kutasaidia pia kuweza kupata massage ambayo itaondoa uchovu wa maandalizi yote ya siku zilizopita, pia itakuwezesha wewe Best man kupumzika maana wewe ndo utakuwa msaada pekee kwa bwana harusi, tambua kuwa wewe ndio utamwamsha bwana harusi leo, utakikisha ameoga na kujiandaa mapema na utahakikisha usafiri upo tayari na hatimaye mtafika kanisani au eneo la kufungia ndoa mapema bila kuchelewa. Ni muhimu kwa bwana harusi kufika eneo la tukiona mapema. MUHIMU SANA: wewe kama best man ndio unayepaswa kuwa na pete za ndoa kwa wakati wote mpaka pale zinatakapohitajika wakati wa kufunga ndoa. hakikisha unamwondoa bwana harusi katika msongo wa mawazo ambao unaweza kujitokeza kwa sikuhiyo.
Baada ya reception mara nyingi unapaswa kuwasaidia maharusi kuhakikisha mizigo na zawadi zipo tayari kwa safari yao ya kuelekea honey moon au pia unaweza kuombwa kuwaendesha mpaka hotelini au airport yarai kwa maisha yao mapya