Saturday

Tuesday

THINGS I WANT FOR MY BIRTHDAY.. KIMOJA WAPO I MUST GET IT


I REMEMMBER MY EX GIRL THIS WAS THE PERFUME WHICH ALWAYS ILIKUWA INAMTURN ON NIKIJIPULIZIA, IKAISHA NA NIKAWA NATUMIA GUCCI BY GUCCI ILA NATAMANI KURUDI HUKU NADHANI NIKUTOKA NA UKWELI KWAMBA ILIKUWA INAPENDA NA WATU WENGI NINAOKUTANA NAO NA PERFUME AMBAYO ILIKUWA HAINIUMIZI KICHWA NIKIJIFULIZIA.... I TRULY WANT THIS FOR MY BIRTHDAY THIS 23 OF MARCH

BASI IKISHINDIKANA HATA HII TU, NI $53 TU 
NATAMANI RABA YOYOTE YA KAPPA.......

MILLEN MAGESE FOR TANZANIA MODELS

TIME FOR MODELS WA TANZANIA KUVUKA MIPAKA YA NCHI NA KUFANYA KAZI KWA MADIBA, NJOO KWENYE CASTING THIS SUNDAY KIVUKONI HALL NDANI YA SERENA MOVENPICK HOTEL,,,