Wednesday
RANGI YA MWAKA 2015 INAITWA "MARSALA"
Monday
MAMBO MANNE YAKUYAFAHAMU KUHUSU MISS WORLD 2014 ROLENE (SOUTH AFRICAN)
Rolene Strauss mrembo kutoka nchini south africa ameitoa nchi yake kimasomaso katika shindano la ulimbwende duniani.. akiwa ndio binti wa kwanza kutoka south africa kushinda taji hilo kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita. 1. Rolene ni daktari mtarajiwa aliyehairisha masomo yake ya kushinda Miss South Africa. na mama yake ni nesi huku baba yake akiwa ni daktari pia. |
2. She drive volvo: mlimbwende huyu anamiliki gari aina ya Volvo nchini kwao south africa. |
3. at Age of 15 she won her first title as Elite model Look huku akiwapiku washiriki wengine 11. 4. She is single... haya kama ulikuwa hujui.. ukiachilia mbali uzuri alionao she happens to be single. |