Monday

kinyang'anyiro cha THE MOST HANDSOME MAN IN TANZANIA

WAFUATAO NI BAADHI YA WASHIRIKI
GABLIEL MEMBE,20

KHALID MUHAMED,22

Pasol,23

Henry Mwiki,21

HAO NDIO VIJANA WALIOPATA KUTIKISA KATIKA SHINDANI HILO LA KUMTAFUTA MWANAUME MTANASHATI! WATU WENGI WALITABIRI KUWA SURA HIZO NDIZO ZINAZOWEZA KUINGIA KATIKA TANO BORA! MJAPO MATOKEO HAYAKUWA SAWA SANA ,BAADHI WALIFANIKIWA NA WENGINE HAIKUWA BAHATI YAO!! NILIPATAA BAHATI YA KUZUNGUMZA NA BAADHI YAO ILI KUJUA WAO WALILICHUKULIAJE SHINDANO HILI! NITAKUWAA NIKIKULETEA MAELEZO BINAFSI YA KILA MSHIRIKI ILI UWEZE KUJUA NI YAPI WAALIYONAYO!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie