Tuesday

Delicious Diva With Shut Up Hair Style


Daim hot! hair do,lips and killing Eyes!! Known as Diva but for me She is Delicious Diva



Fashion Polis leo imeangukia kwake mwanadada Eligiver Godwin!! Mdau wa urembo unahitaji kushika tention za watu pindi uingiapo katika mkusanyiko wa watu, hapa Delicious Diva alikuwa katika party fulani! ukimtazama kwa makini moyo wako na macho yako yanakubali kuwa umekutana na msichana anayejipenda na anayejua nini maana ya urembo! Sun Glasses za Gucci, skarfu na top nyepesi kwa majira haya ya joto!!

She is a fashionistar

3 comments:

  1. Anonymous23:24

    dammmn!uyu dada mm namkubali kinoma!

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. Anonymous00:28

    si kumkubali tuu! anatisha bwana! mtorto klama sio mbogo! kazaliwa DC nini kwa obama? anastyle za ajabu ajabu. lakini nahis hiyo mmiwani kama prada vile?

    ReplyDelete

sema tukusikie