Thursday

More suprise to come!!


Anatambulika kama Moracka na amejizolea umaarufu zaidi kupitia kipindi cha Ala za roho cha cloudsfm kinachoendeshwa na mwanadada Loveness Love baada ya kushinda taji la The Sexiest Man in Dar na kuwabwaga wakali kama Luca na Ben na wengineo kibao!! Juzi kati nilipata bahati ya kukutana na mshikaji maeneo flani ya kujidai katikati ya jiji na nilimuuliza vimaswali vyakizushi bwana!

Me: unajisikiaje kutambulika kama The Sexies man in dar?
Mo: honestly am happy and am proud of myself bro.

Me: unadhani ulipendelewa kwa njia yoyote kushinda taji hilo?
Mo: kaka ulikuwa haufatilii nini shindano? kwanza yule mdada aliyeandaa shindano nilikuwa sijuani nae by that tym so sidhani kama angeweza kunipendelea mtu asiyenijua, then Watnzania ndio walikuwa wanapiga kura!! so wao ndo wamechagua nani mshindi! swala la kupendelewa mimi silijui kabisa!!


Me: Do u have anyplan in this Entertainment Industry?
Mo: yes!! alot of!!

Me: And what is your plan so far??
Mo: ahha ahha ahaa haha aha cant tell You right now! but what i can tell u! open your Eyes and ears utajua tuu soon

5 comments:

  1. Anonymous06:42

    huyu kijana anahaki tu yakushinda ila anaonekana mtu wa kujidai sana. bling bling kwa sana na huyo diva anamacho ya kujua wavulana wazuri walah maana juzi katika gazeti nimeona ametolewa na yule mtangazaji mwenzie smart smart hivi

    ReplyDelete
  2. Anonymous06:45

    haka kablog huwa kananifurahisha sana, kapo kivyake na ukipita lazima utacheka sasa huyo mtangazaji wa radio ameangilianaje na habari za moraka? au

    ReplyDelete
  3. Anonymous09:36

    au nini sasa??

    ReplyDelete
  4. Anonymous08:23

    mpaka ujue au nini? maybe amekosa cha kuandika, but ukweli ni kwamba huyu Dogo ni mkali, umesikia nyimbo yao mpya inaitwa gambe sijui

    ReplyDelete
  5. Anonymous01:51

    kaza buti dogo. unajitahidi sana tuu,wimbo wenu wa gambe poa kuliko sana

    ReplyDelete

sema tukusikie