Friday

Mwanamke Hulka!!


Mamaa Geha wa Heka heka!!


Unajua mara nyingi huwa nacheka sana nikipata nafasi ya kusikiliza leo tena hata kama ni kwa dakika kumi tuu! hasa katika ile segment ya heka heka!! leo nilipata bahati ya kuzama mpaka studio nikasikie live instead of kusikiliza redioni!! Man , mbavu nilikuwa sina! hawa wadada siwatukani ila nahisi ni vichaa!! Yaaani they know how to intertain their audiance!!
!!

5 comments:

  1. Anonymous09:11

    yalaaa, kweli hiyo ni kubwa kuliko. huyo ni mwanamke hulka

    ReplyDelete
  2. Anonymous09:11

    anavutia...............................

    ReplyDelete
  3. Anonymous09:12

    aliyekwambia nani?

    ReplyDelete
  4. monica07:58

    geha nakukubali lakini angalia usije kung'utwa

    ReplyDelete
  5. Anonymous22:53

    Hakuna kitu punguza minyama uzembe hiyo

    ReplyDelete

sema tukusikie