Thursday

Shemeji Amber Rose huyu hapa na Kanye West


Nahis kama relationShip ya hawa watu wawili inaweza kufika mbali au isifike mbali... unajua ni kwanini? wote wawili wamekutana ni vichwa na wana akili sana katika swala zima la kufanya kazi zao kwa umakini, ili kujiingizia mkwanja wa kueleweka, Amber Rose yeye ni mwanamitindo maarufu(Model) wakati mchizi ni Mwanamziki maarufu na mwenye jina kubwa katika anga zima ya burudani!!
Man!! this couple is very hoot!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie