Thursday

Harufu mbaya katika nyeti.. unajua chanzo?

Kuna vijana wengi wamekuwa wanakumbwa na tatizo la kutoa harufu katika maeneo nyeti.. hili tatizo lipo na mimi binafsi linanikera ndio maana naamua kulieleza leo ili watu wajirekebishe hasa wanaume sisi.. Yaani hii inaboa na najua hata mademu zetu wanakereka ila wanashindwa la kufanya kwa kuwa wanatupenda! ila kwanini tuwape wademu zetu nawengine wachumba zetu karaha wakati tunaweza kuepukana na hii aibu?

Sababu kubwa ya tatizo hili ni:

1.Kuvaa nguo ya ndani kwa muda mrefu...

2.Kuvaa nguo ya ndani bila ya kujikausha vizuri hivyo kubakiwa na unyevu..

3. Kuvaa nguo za ndani zisizoendana na khali ya hewa ya eneo uloishi...

4. kushindwa kuoga au kujisafisha nyeti baada ya kumaliza kuzini au kufanya tendo la ndoa kwa walio oa!!

Hizo ni baadhi ya sababu kubwa na njia rahisi na kuepukana na tatizo hili ni:

Jitahidi kuoga mara tatu kwa siku au mbili kama ni mtu uliye bize na kazi..
na mara baada ya kuoga jikaushe vizuri kwa kutumia taulo lililotengenezwa kwa pamba..

Boxers au chupi za material ya mpira si nzuri kwa mikoa ya joto kama Dar es salaam, Morogoro na dodoma kwa kuwa zinasababisha joto amablo hupelekea kutoa harufu....

Vaa boxer za matelia ya pamba ni bora zaidi na kufanya maeneo nyeti kuwa makavu wakati wote....


pia hakikisha huvai nguo ya ndani kwa zaidi ya siku moja!!


Nakuhakikishia ukifanya hivyo uatakuwa msafi na kuvutia muda wote hata mahusiano yako na mpenzi wako yatadumu na kuwa yafuraha zaidi...

1 comment:

  1. Anonymous02:48

    its the truth, i experienced that once, yaani alikuwa jamaa akivua boxer i cant even suck him coz of harufu

    ReplyDelete

sema tukusikie