Friday

Inasemekana hawa ndio Vijana wenye mvuto zaidi Tanzania


Tv presenter and Copy writer(Abba Seduu)







Model and Actor (Om Josh)







Tv Host and redio Presenter... Hamis B Mandi (B-dozen)











Ali K(Musician)Who has got alot of music tour around Europe recently












Benny Kinyaiya (Tv Presenter)and Director of Entertainment company










Mwampamba Mwisho











The best voice over guy in tanzania!! Terence









Moracka(Bongo sexiest boy)and musician









Abdul sykes or dully sykes(Musician)







Rn'B singer Makamua







Professional photographer(RaqeY)





Actor(Steven kanumba)








Known As Eddie, but he goes by the name Edward Msilanga, he is the one among top male models in tanzania Who are now Having good and happy life!



Hao tuu? inamaana wengine kwakuwa wamekuwa ndani ya mahusiano au? '

35 comments:

  1. Anonymous03:35

    jakash

    ReplyDelete
  2. Anonymous05:48

    yaani hapo kwenye mvuto namba moja ni raque huyu mwenye suti namab mbili morac sijui na hao wengine

    ReplyDelete
  3. Anonymous08:01

    Nimekuwa nafuatilia na sikuwahi kutoa comeent lakini nimeona niseme kitu mbona wengi wao hapo sijaona huo uhandsome wao mimi!?simpondi mtu wala nini ila naona ni majina tu kwa vile maarufu.Kanumba,B12,Dully Sykes,huyo Ali Kiba na Mwisho Afadhali kidogo.Ni mawazo tu me nadhani kuna jamaa wana mvuto kuliko hao niliowataja hapo juu.Hao wengine wako poa.Itabidi na mimi nikutumie picha yangu,lol.
    So Much

    ReplyDelete
  4. Anonymous00:39

    hapo juu unapoint hao uliowataja hapo juu siwaelewi mvuto wao uko wapi? Au mnaanza kua kama utamublog na nyinyi? kuweni mnaweka watu wa kweli tunachangia kitu tunachokiona kimenyooka, mimi si-crash na wala sina muda huo lakini ukiwa unasema mtu anamvuto hakikisha ni mvuto,na umaarufu ni umaarufu,kingine kama ushauri nyinyi watu mnao comment ongea kitu kilicho sahihi na chenye misingi sio kwenye mtu anaye kuvutia wala unayemchukia, weka tofauti zako pembeni na useme comment ya moyoni ili kum-suport mwenye blog kutuwekea vitu vizuri na sio kuanza tena majungu kama kwenye blog nyingine za ajabu. Kila lakheri

    ReplyDelete
  5. Anonymous00:52

    Abba,raqey,Terence,Moracka nawakubali 100% bila kipingamizi ndugu zangu, hao wengine bado natafakari Labda mtafute mvuto kwa wasanii na watu wengi wasiofaamika ili mpewe mawazo sahihi lakini kama una macho yanayoona vizuri basi hao nilio wataja hapo juu ndio sahihi ukilinganisha na hao walio baki.........

    ReplyDelete
  6. Anonymous09:42

    niseme nini? blog nzuri

    ReplyDelete
  7. Anonymous02:40

    Mr. Blue nae umemsahau

    ReplyDelete
  8. Anonymous03:23

    huo mvuto ni upi maana kama ni kwa wanawake walitakiwa waseme kama vile magazeti kama gq na maxim yanavyofanya.utasemaje mwanaume mwenzio ana mvuto,kakuvutia nini wewe?kama ni mvuto kutokana na maendeleo au mafanikio basi hapo atabaki kanumba,b12,raqey na alikiba.hao wengine hatujaona mafanikio yao ya kuwafanya vijana wengine tutamani kufika walipo.naomba kuwasilisha mada.

    ReplyDelete
  9. Anonymous04:48

    is that according to----------------??????????

    ReplyDelete
  10. Anonymous03:50

    Mh huyo b 12 kwakweli hana mvuto sion anachovutia etiiiiiiiiiiiiii?

    ReplyDelete
  11. Anonymous01:42

    kwa kweli katika hao uliowataja wanaume wenye mvuto ni MORACKA, ALI KIBA na ABBA SEDUU

    ReplyDelete
  12. Anonymous06:34

    hamna wote ovyooo. Abba tu. N why u so interested with this man's thing, mhhhm! wew kila siku ni kusifia males tuu! ok may b labda they r ur gud frnds.

    ReplyDelete
  13. Anonymous06:01

    Ovyo.tembea uone wapo wa vijana na sio hilo vumbi ulilo weka.

    ReplyDelete
  14. Anonymous08:47

    Jamani msibabaike na izo Picha, nendeni mkawaone Live na hapo ndipo mtamkubali uyo mtangazaji Ben Kinyaiya, tuache Fitina jamaa anavutia hata kina Jaz Z na mapesa yao hawampati, na nimewaambia ivyo coz nimeshamuona Live mara kibao na habadiliki...

    ReplyDelete
  15. Anonymous14:52

    eddy sawa HOT

    ReplyDelete
  16. Anonymous11:32

    daxx umemuacha wapi?yule ndo top of the top

    ReplyDelete
  17. Anonymous08:15

    b twelve hapana,makamua hapana,mwisho hapana plz drop me off excuse me!!!!!!1

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymous12:03

      kwakeli b twelve BIG NOOOOO,Dully sykes naye uwiiii!

      Delete
  18. Anonymous09:15

    Hivi nyie mmewaona wazuri? Eti, bora hata huyo aliyesema Ben maana kamuona live, most of them are not, mtu kama B12 anafanya nini hapo?
    Nyie kweli hamjazingatia... vigezo. Hey Martin hebu angalia list hii kwa upya, au ni kwasababu ya umaarufu wao, me nimewaona wakali zaidi yao, na hata me mwenyewe nawafunika. Lol.

    ReplyDelete
  19. Anonymous02:33

    Mwanamme unasema mwanamme mwenzio anavutia,.mazafanta Cameroon

    ReplyDelete
  20. Anonymous22:37

    Excuse me kiss my ass eti EDDY!!! kwakuwa amekugeuza anamvuto gani? tutolee uvundo hapo psychhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  21. Anonymous00:19

    moracka,Ali kiba and abba seduu are for real,wanamvuto there is samthing abt them...!

    ReplyDelete
  22. jline01:17

    kwangu miimi kwenye hii list naanza na raqey(he is cool n down to earth man)then Aba-very sexy kwa nje cjui ndani..followed by Terrence..period..hao wengine nachelea kusema.wengine sura zao zimekaa ki gay gay tu..But kuna wengine huo huwajui ni mahandsome wa ukweeeeeeeeeeeeel na elimu zimepanda..si kutuwekea opinion zako

    ReplyDelete
  23. Anonymous01:22

    LMAO.
    UZURI WA MWANAUME AUJUA MWANAMKE SASA WEWE MARTIN HOW DO YA KNOW THIS GUYS.

    I THINK THE ONE TO WRITE THIS SHOULD BE GIRLS AND COMMENTS SHOULD COME ONLY FROM THEM.

    ReplyDelete
  24. Anonymous22:29

    cjaona zaid ya aba tu,wngne wote wauza sura na masupastar

    ReplyDelete
  25. Anonymous00:13

    All a normal no one z mor dan othrz,cjajua ni vgezo gan haxa unavotumia cz kuna watu wanamvuto huku mikoan kuliko wao tembeen muone sio kutuwekea watu kixa 2 wanausuper star fulan,ustar wao ni wao hauhusian na mvuto au kisa wanatumia hela kuununua uzur madukan cz most of them sio asil ya huo mvuto mnaosema.mwanaume gana anapaka lips shyn,poda,anaweka nywele dawa,anajipara kama mwanamke then anajitoa eti anamvuto no!no!cjaona hata kidogo hawajanivutia mm as a girl.smtym muwe seriez na vitu mnavofanya xawa!am gal 4rm kill vive....!tanx a lots.

    ReplyDelete
  26. Anonymous12:08

    abba ooh! yes,reque ni rangi hiyo inambeba,dully n b twelve hell no,na huyo mwarabu hamna kitu hapo,ali kiba n ben yes,mwisho kachujaa n wengine sijui.halafu wapi mr.blue,izoo busness etc... wngi wamwachwaumetumi vigezo gani griiiiiiiii!!!

    ReplyDelete
  27. Anonymous07:07

    angalau unaeweza sema anavutia ni huyo profesheno fotografa, hao wengine mafala tu.

    ReplyDelete
  28. Anonymous03:27

    Terence n Abba ..Big YES

    ReplyDelete
  29. Anonymous13:45

    ABA,ALLY KIBA NA B12 NDO WAZUR

    ReplyDelete
  30. Anonymous07:07

    wewe kaka mwenye suti hivi umeoa? nimeolewa lakini nakutamanije. Hongera your mwaa...

    ReplyDelete
  31. Anonymous10:11

    kilammtu anamaono yake nakuubali,lakini tafadhari yuzingatie vigezo hii ni kwa pande zote mbili yani bloger na wadau yani sie,kwangu naona mwiso he is the bes,ni hayo kwa sasa,ahsante.

    ReplyDelete
  32. Anonymous02:57

    to be honest! at least huyo rayq anavutia na ali kim. bt the rest just the tittle to! ma handsome wapo kibao mtaani tatizo how can u knw them?? tembea uone bana!

    ReplyDelete
  33. Anonymous23:23

    before haujacomment angalia unachocomment kisha ufanye
    hayo tuuuuu

    ReplyDelete
  34. Anonymous22:56

    Mohamed Mwikongi a.k.a Frank mbona hayupo kwenye list. kile ni kifaa hapana chezeiyaa. Wengine michosho tu

    ReplyDelete

sema tukusikie