Thursday

Uwoya Azidi Kung'ara...Cyplus



Mlimbwende aliyepata kutesa katika tasnia ya urembo tanzania na baadaye kujikita katika uigizaji filamu Irene Panclas Uwoya na sasa mama Ndikumana ameonesha kuzidi kupeta kimaisha.. nikizungumza nae hivi karibuni Irene anasema Anapenda kumshukuru Mungu kwani ndio anayejua mipango ya maisha yake....



Am happy for u Irene.. hope unakumbuka kukurukakara za sinza palestina!!! ahah aha aha ha am kidding

1 comment:

  1. Anonymous03:00

    mh namuona mtoto muzuri ila apunduze mawiving he is so artificial yaan halafu ajiweke simpe kidogo asijiweke complicatade, saana akashindwakutofautishwa na msichana wa uswahilin.

    nampenda sana she is very serious when she acting, yaan anauvaa uhalisia sana. napenda sana a act kama mama mwenye familia hapo tumuone uwezo wake, ila nadhani ataweza, aplactize kawa ndo yumo humo kwenye mtari, tena aect tofauti tofaut, mama katili, mama wakambo mama mwenye busara, mama mwenye wadhifa, fulani i think she kan rock well.

    me namtakia maisha meme na m.mungu amlinde ma ampe mayo, asali, awe mke mwema, tena asiwasikilize marafiki wanafiki, unajua wamamtamania sana, ndo hivyo si wao ni irene, so washindwe wale wote wenye mimacho ya husudaaaaa,

    kikubwakuwa karibu na mungu tu, kwani vingine vyote ni vya ulimwengu, ok be gud baby

    ReplyDelete

sema tukusikie