Sunday

Huyu Hapa


Baada ya mbio ndefu ya viatu virefu wanamitindo wa kitanzania wameamua kuanza maisha mapya ya ndoa na kuishi kama mam wa familia..... Felician ndio alikwa model wa kwanza kufunga ndoa, akafuatiwa na Carolyn Peter (Smilling faces). Lilian au Aimar kama anavyojulikana sasa alifuata na habari nzuri zaidi ni Prisca(Malkia wa mwendo wa paka) Ameamua kuachana na ukapela na mapema mwezi huu anatarajia kufunga ndoa!!

Mvuto kwanza inamtakia Prisca maisha mema ya ndoa ....... Bravo?? Sasha na wewe lini??

1 comment:

  1. Anonymous23:10

    umesahau kuna johari majid yeye ndio aliyeanza kuolewa hao wakafata.ila prisca kawa bonge.

    ReplyDelete

sema tukusikie