Friday

natural Beauty in Her


Judith Wambura ni mmoja wa wanamziki wakubwa hapa nchini kwetu tanzania kwa kiasi kikubwa ameitangaza nchi yetu kupitia burudani ya muziki... unakumbuka ni kwa mara ngapi amesafiri kwenda nje ya nchi akiwa na bendera ya tanzania katika nguo aliyaa au hata hereni zake au kitambaa alichoshika...
Hivi kweli vyombo vyetu vya habari zinashindwa kumuheshimu na kumpa nafasi ya kuishi maisha ya Raha.. kuugua kwa Jide imekuwa sababu ya kufanya gumzo la mji? hivi kweli sheria za habari hatuzijui au tunazifungia macho? JAY DEE'S SICKNESS IS THE PUBLIC INTERESTED?? AND PEOPLE THE HAVE A RIGHT TO KNOW? haya si ni maisha yake binafsi? mmemtafuta mzungumzaji wa msanii huyu na kumuuliza? Wengine wanasema ni TAJIRI MCHAFU... anamiliki swimming pool nyumbani kwake... mmeenda mkaiona hiyo swimming pool??tusiandike tuu ili kuuza gazeti ila tufikirie maumivu mnayompatia dada Yetu huyu na mashabiki wake wanaompenda na kumjali.... anafanya kazi sana.. siku tatu kwa wiki ni tatizo?? mbona mko maofisini wiki nzima na hakuna anayewauliza? Tusifike huku tunakotaka kufika kwa kukimbia kabla hatujatambaa .......

Pole Wale wote mlioniandia hii inaonesha ni jinsi gani mmeumia na Khali ya hewa ya Media yetu!!

9 comments:

  1. Anonymous02:08

    ni kweli kabisa uliyosema watu wanaacha kujiangalia wao wenyewe kwanza ndio waoneshee vidole wenzao hawajui alipotoka na hawataelewa kamwe anapoenda ndio maana wanamchimba wapate kufahamu lakini wanashidwa kwawkeli.yake yaanaendelea yao yanashuka kwasababu wanakaba sana mpaka penani matokeo yao wanaumiia jidee yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.tatizo tanzania ukiwa na ridhiki unakuwa mwazo wa chuki kwa watu.

    jide piga hatua mamama achana naoo hao.


    cute smile

    ReplyDelete
  2. Anonymous03:38

    kaza buti mama ndio wanazidi kufikisha juuuuuuuuuuuuuuuu




    Allen

    ReplyDelete
  3. Anonymous03:40

    nampenda sana ingawa watanzania mnapush down

    ReplyDelete
  4. Anonymous04:45

    Jide anajitahidi kwa kazi yake. Mungu azidi kumzidishia. Kwa kweli nawasihi watz waache kuandika hbr zisizo na uhakika na pia waache kuingilia maisha binafsi ya watu.

    Dogo

    ReplyDelete
  5. Anonymous08:43

    Pole Jay Dee tunakupenda siku zote.Martin samahani kama ntakuudhi naomba kabla ya kupost kitu kwa blog yako kwa lugha nyingine kwanza ipitie kama ina makosa.Samahani kama nimekuudhi.
    So Much

    ReplyDelete
  6. Nashukuru sana kwa comments wadau but na napenda kuwakumbusha jambo moja tuu simple!! hii sio blog ya jamii ila ni blog binafsi ya Martin. Na hata jina linajieleza Mvutokwanza that means kinachonivutia na kunigusa ndicho kinachokuwa published hapa!! ni hayo tuu na nashukuru kwakuwa ujumbe ambao ninapenda usikike unasikika!! kuhusu lugha jamani nimesoma primary mkoani mpaka sekondari walimu wanaongea kilugha na kiswahili darasanai hiyo perfect English nitaijulia wapi? ndo najifunza hivyo tusameheane jamani....

    ReplyDelete
  7. Anonymous00:36

    Hata mimi nawaunga mkono wadau wote waliochangia kuhusu ishu ya mwana dada JIDE. Piga kazi mwana mwali wataongea watachoka. Wakazie mbaya yani Hamna kucheka na nyani utavuna mabua. Watu nuksi JIDE!!!! Nakukubali kinyama wangu.

    ReplyDelete
  8. Anonymous00:41

    Piga kazi mwana mwali JIDE. Nakukubali kinoma wangu. Wakazie mbaya. Usiwape pumzi. Wala usicheke na nyani mpaka waisome vizuri na waitamke kama ilivyoandikwa au sio?

    Mau SaNtiaGo

    ReplyDelete
  9. Anonymous04:43

    kwani kumiliki swimming pool its a deal au hao washakunaku wa udaku wanakosa cha kuandika. Piga mzigo mama wataacha wenyewe kukufualitia maana uko juu zaidi ya mawingu....kumbuka wimbo wako ulioimba na MwanaFA ....msiache kuongeaa, ongeeni mnavyoweza, kila...........

    ReplyDelete

sema tukusikie