Ulinzi ni kila kitu kwa Star.. Unwanahakikisha usalama
No matter how old you are... You need to have fun...
Got my Keys here in Malawi.. mishe mishe zinaanza
Mr Taji Liundi kama model vile.. naona anaiwakilisha Modotz.blogspot.com
This beautiful ladies jamani.. walinifanya nifurahie safari yangu... they are fun and lovely
Ulinzi ni kila kitu kwa Star... UN wanahakikisha Usalam
Safari yangu ilihusisha watanzania wenzangu wengi na wengine tulikutana nao juu kwa juu.. hapa ni VIP lounge ya Zambia tukisubiri muda wa kusepa
Katika pita pita yangu ya hizi shughuli zangu nilikutana na askali wa UN na tulizungumza machache na walionekana kuvutiwa na inch yetu, amani tulionayo, wananchi watulivu na wenye moyo waupendo.. na kudhihirisha kuwa tunaupendo niliona ni vyema nikipiga nao picha!!
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie