Wednesday

Umodo cames with New force Revolution


UMODO INATAFUTA MAMODO WA3 WAKALI WANAUME NA MAMODO BOMBA WA5 WA KIKE.

VIGEZO VYA MWILI VYOTE VINAKUBALIKA, UZURI TU NDIO KIGEZO KITAKACHOANGALIWA KWA MAKINI.

KITU KIPYA KINAKUJA KINAITWA "SHOWCASE".

NI NAFASI YA WATAKAOCHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA MFUMO MPYA WA UMODO NCHINI. AMINIA!

MAMODO WA KIKE NA KIUME, TUMENI PICHA 5. ZA SURA. MWILI MZIMA, KWA MBELE, NYUMA NA UBAVU. VAA VAZI LA KUOGELEA AU KAPTURA TIGHT NA TOP. WANAUME KIFUA WAZI NA KAPTURA.
JINA, UMRI NA NUMBER YA SIMU PAMOJA NA EMAIL!

TUMA SASA TUANZE KAZI!!

PICHA ZOTE ZITAHIFADHIWA KWA HESHIMA NA UANGALIFU MKUBWA NA HAZITASAMBAZWA, KUONYESHWA AU KUBANDIKWA KWENYE MTANDAO BILA RIDHAA YA MODO HUSIKA. MAMODO CHINI YA MIAKA 16 HAWATARUHUSIWA KABISA KUSHIRIKI!

I think i should go for this thing.... Brother Taji is full of suprises...

For me habari kuhusu hili tafadhali tembelea blog ya umodo www.modotz.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie