Monday

Smiling Faces Yagusa Mitima ya Wadau wa burudani Kwa kutoa Tuzo

The most kind Designer

The most kind Designer ilikabidhiwa kwa Khadija mwanamboka... nakubaliana nayo kabisaa kwa kuwa kutunza watoto yatima waishio na Virusi vya ukimwi Si shughuli ndogo...Mwenyezi Mungu akujalie baraka tele


24years with Lifetime Archivement?? wow..

Ali rehmtula, Ankal na mdau


The best Actor and The sexiest Actress


Best Blog in tanzania and Best Social Blog
Ankal Michuzi alipokea tuzo ya the best Blog in Tanzania na Shamimu Mwasha alipokea Tuzo ya The Best Social Blog

Best Male model

Nikipokea Tuzo yangu...Nashukuru kwa kutambulika kwa kile ninachokifanya.. Thanx alot

Best social Radio Programme and Best Female radio Presenter
Kipindi Cha LEO TENA kimejinyakulia Tuzo mbili usiku wa jana... Pichani ni mwanadada wa movie Leo Zamaradi Mketema.. Asia Idarous, mdau na the best Female Radio Presenter in Social programs Dina Marios


The beauty Queen

Silvia Shari akihojiwa mara baada ya kupokea Tuzo yake as A best Beauty Queen

Mother of Fashion in Tz and the Best Photographer Raqey
mama wa mitindo tanzania akifurahia Tuzo yake akiwa na Best Photographer Raqey Mohammed(I-View Media)...Smile pls

The Most Atractive Artist

KIla Msanii alikuwa na Style yake ya Upokeaji Tuzo lakini Mo Racker alitia Fora...

5 comments:

  1. Anonymous10:20

    Wacha niseme nisikike,Kanumba kweli hilo shati jama yani katika nguo zote umeona uvae hilo shati?!,Michuzi ha ha ha kweli kwenye tuzo unaenda na Makobazi,na shati basi funga vifungo vyote basi,ilhali unajua kuwa unaenda kwenye tuzo?!na naamini huwa mnapewa mialiko mapema sasa hata sijui huwa mnafikiria nini haya wacha nije kwako wewe Martin kweli kabisa kaka umekwenda umevaa hivyo ha ha ha ha,yani ni kama unaenda kwenye party ya mtaa.Kwani me nauliza tu wala si kwa nia mbaya hivi kabla ya kutoka uliona kabisa yani hapo you killed it right?!ha ha ha ha yani bado sana.Sitaki kusema wala kukufananisha na hao mamodel waliopita lakini wenzio walikuwa wanatoka mbaya mfano muangalie Aba yani jamaa yuko smart mbaya,sisemi kwamba wewe sio smart kuna muda unashine mbaya lakini mara nyingine dah!!yani ukimwambia mtu wewe ndio best male model in Tanzania au Dsm utaskia are u really serious?!.Una talent sikatai na naheshimu hilo lakini kuvaa bado.Niliwahi sema kipindi cha nyuma nikaonekana kama nakudis flani hivi lakini from the bottom of my heart mavazi yako hayavutii.Jitahidi kuvaa kuendana na mazingira wewe ni model.Nikuulize tu ungekuwa unazungumzia fashion katika siku hiyo kama wafanyavyo wenzenu halafu mimi ndio nimevaa hivyo kama wewe na nategemea kupata tuzo hivi ungezungumziaje?!.Ushauri wa bure jitahidi katika kabati au sanduku lako una nguo za kuvaa hasa katika sehemu kama hizo,haijalishi ukanunue mlimani city unaweza hata kwenda kunua mchikichini lakini ukivaa utaonekana umevaa kuendana na shuhuli,pili kabla ya kutoka jiulize nimevaa kutokana na shughuli ninayoenda?!sio unavaa kama unaenda kwenye birthday party.
    Ni mtazamo tu wala usijenge chuki
    So Much

    ReplyDelete
  2. Hey Asante sana although haujulikani kama ni mwanamke au mwanaume... but sio jambo la muhimu kwangu.. asante sana kwa ushauri.. inaonesha ni jinsi gani your into fashion... naomba nikuulize swali moja.. Mavazi ya Lady gaga unayaongeleaje? uchafu na uchizi au? Designs za marehemu Marqueen nio ujinga na uchizi? nisivae my designs kwakuwa tu ni Red Carpet? kila mtu anauvaaji wake.. and the big secret about fashion is wear what you wear ass long as your confortable with it, kama ulikuwa haufahamu hilo just know it now... nimependa kwakuwa umekuwa ukinifuatailia na kunipa ushauri.. hilo ni jambo jema na maoni yako yanakaribishwa muda wote... asante kwa kuchukua muda wako kuandika comment ndefu ya kutosha na UMESIKIKA

    ReplyDelete
  3. Anonymous12:30

    Ha ha ha ha ha ha unavaa unachokivaa kwa sababu Lady Gaga anastyle yake na wewe?!,ur funny!!kuna kuiga kwingine wala mtu hutakiwi kujaribu hasa kumuiga Lady Gaga kwa sababu yeye anafanya vile ni kwa ajili ya publicity na to get people's attention sasa na wewe dhumuni lako sijui ni kutafuta nini?!me naamini hata hao jamaa zako huwa wanakuogopa au wanashindwa kukwambia, huyo Marqueen me simjui manake nimejaribu kumgoogle naona picha zake sizioni.Kwa upeo wangu mdogo ni kuwa unaweza ukawa na style yako ila ukavaa kinachoeleweka na ukapendeza,wacha nikupe moja ya siri ya fashion ambayo wewe naona huijui na kamuulize mtu anayejua fashion atakwambia ni kuwa mbunifu kwa maana ya kwamba unaweza ukawa na nguo kumi za aina tofauti lakini ukazipangilia na ukapendeza sana.Ninachomaanisha hapa hata mimi kuna mavazi yangu ambayo napenda kuyavaa hunikuti nikavaa kile kila mtu anachovaa au kila fashion iliyo dukani manake najua si vyote vitanipendeza.Nadhani wewe ni mwanamitindo lakini angalia mazingira unayokwenda na unachokivaa ili uwe nadhifu.Lakini kama ndio style yako hiyo mmmh kazi unayo manake utanichoka.Kuhusu mimi kupenda fashion sijui ila napenda kupendeza na kutoka nadhifu.Namshkuru Mungu ninachokivaa most of the time kinanitoa sio kwamba najisifia lakini huo ndio ukweli.Najua sio jambo muhimu kwako kujua jinsia yangu lakini najua moyoni mwako unataka kujua ama sivyo?!,Mimi ni mwanaume na naitwa Yusuph.

    ReplyDelete
  4. honestly i thought ni mwanamke siku zote unazocomment... mh unamoyo sana.. nitumie picha yako moja tuu nahisi si vibaya kama nikikuweka katika blog yangu wewe mdau wangu unayetaka nibadilike..

    ReplyDelete
  5. mmmmh nimeipenda sana.
    HAKUNA FASHION DUNIANI ZAIDI YA ILE KITU ROHO INAPENDA.

    ReplyDelete

sema tukusikie