Monday

Some of them, they was wow and some Duh!!!


African dress was good on Joket.... I loved it!!



Marlaw was so smart in white....


Nywele ya bibie Lwiza mbutu niliipenda... alipendeza



Kaka yangu Kayanda alitupia ile mbaya



hair do and smile ya Jide....




kiatu na gauni vilikuwa poa kwa binti machozi







Captain aling'ara in cream...


Hii fashion ya sebo duh....!!


Hasheem alitoka fresh sana... he looked very different although alimtesa msanii wetu mmoja katika kuhug..... check picha chini




Na mimi modling... napenda sana uModling jamani... sio libeneke peke yake.

4 comments:

  1. Anonymous08:55

    Nikisema oooh unasema let picha yako haya hicho alichovaa Arnord ni nini jamani?!naskia Tanzania ni Joto sasa na majeketi ya nini?!Hakupendeza.Hakuna kutupia wala kufanya nini hakupendeza.Muangalia Gardner,Banana au Hashim ndio utajua watu wanavyoheshimu mavazi ya shuhuli.Sio kwa vile Jay Z kavaa shades usiku basi kila mtu avae,wenzao wanavaaa za ukweli kama Cazal wao sijui wanvaa ipi.Sijakuona rafiki hebu weka picha basi nikuone na wewe ulivyotupia labda safari hii umezingatia ushauri wangu.
    Ni mtazamo tu wala usijenge chuki.
    So Much

    ReplyDelete
  2. Anonymous02:25

    Mbona naona kapendeza sana au mdau wa kwanza unataka tukueleweje?

    ReplyDelete
  3. Anonymous03:12

    This is Arnold Kayanda! Naomba kusema jambo hasa baada ya kusoma Comment ya Anonymous wa kwanza ambaye amesema sikuzingatia hali ya hewa ya Dar es Salaam katika Mavazi yangu kiasi cha kunihusisha na akina Jay Z na uvaaji wa Shades usiku.

    Kwanza kabisa naomba nimkosoe kwamba anachovaa Jay Z no matter hicho kitu ni original au Fake lakini ni lazima kifuate utaratibu wa uvaaji, hilo la kwanza.

    La pili ni kuwa wakati mie nachagua cha kuvaa,wazo langu la kwanza likuwa Baridi ambayo huwa naipata napokuwa Diamond Jubelee hasa nyakati za usiku na hasa kwa kuzingatia kuwa tukio lenyewe halikuwa Concert ya kubanana au kurukaruka. Na pia naomba kumwambia mdau kuwa si mara zote kila Binadamu anahisi joto sawa na mwenzake katika eneo Fulani. Ndio maana hapa kazini kuna watu wanaingia na Tshirt tu Studio wakati mi naingia mpaka na Gloves!

    Na kama amewasifia Gardner na Hasheem kwa kuzingatia hali ya hewa,aangalie vizuri maana wao walivaa Makoti tena Mazito kuliko langu mie!

    Wazo langu la pili wakati navaa alichokiita “hicho alichovaa Arnold” ilikuwa ni rangi iliyofanana na sehemu kadhaa za viatu vyangu!

    Wakati natoka nyumbani sikujua kuna mtu ningemharibia siku yake kwa hivyo namwomba msamaha Anonymous! Asanteni!

    ReplyDelete
  4. sina la kusema!! Kayanda kamaliza kila kitu!!

    ReplyDelete

sema tukusikie