Wednesday

Captain G. Habash amlipua mkewe kwa bonge la party!!


mheshimiwa mtarajiwa Shy-rose.. fashion star Zamaradi, the number one Romme jones,shamsa, kaka mkubwa Captain G.Habash na the most Kind fashion Designer Hadija Mwanamboka


WAKUJA tulikuwepo... na nilipewa jukumu la kupungua kinywaji kinachoashiria upendo na amani...Shampagne.. nikiwa na Romme jones na Shaa ambae yeye ndo aliimba ile nyimbo maalumu ya birthday!!

Tulimkaribisha mtoto kwa kinywaji chake akipendacho ukiachana na vile vikali mara tu baada ya kuingia ukumbini.......

Jafarai, mbibo, jide{soljier Queen}, shaa na moracka, dina anaonekana kwa mbali na Shadee katika picha ya pamoja...

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie