Sunday

Sorry for Late Wishes to my Girl "Kimora " Salma Msangi


Jana tarehe 24 ilikuwa ni siku special kwa dada yangu salama msangi!! kwa kutambua mchango wake kwa tasnia ya burudani tanzania namtakia maisha marefu yake binafsi pamoja na mumewe! mwenyezi Mungu akushushie baraka na Amani tele! happy B.Day to u my darling!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie