Thursday

Hapa na Pale....


Kamati changa ya shughuli ya miaka 10 ya jide!!

My girl Nuru the Right ndani ya Sweeden

Diva.. Devotha akipata cofee katikati ya jiji La New York...

Baadhi ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakinunua shanga za kimasai kutoka kwa wauzaji waliopo katika Boma lililopo katika Hifadhi ya Ngorongoro wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo wakati wakiwa katika ziara yao ya kutembelea vivutio vya Utalii vilivyopo Mikoa ya Kaskazini, ikiwa nbi sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie