Saturday

PIgo Kwa CCM kuanguka kwa Kikwete Jukwaani??


Ikiwa ni dakika nne toka aanze kuhutubia katika viwanja vya Jangwani Dr Jakaya Mrisho Kikwete Aishiwa Nguvu na kudondoka!!.... hii imeleta mshtuko mkubwa kwa watanzania waliokuwa wakimsikiliza!! kwa kutambua umuhimu wake katika nchi namtakia afya njema maana naona amerudi hapa jukwaani na kumalizia kile alichotaka kukieleza!! Kidumu Chama Cha mapinduzi!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie