Friday
Zamaradi.. into fashion House!!
Kipindi hiki cha mwezi mtukufu.. dada zetu wamekuwa wakijitahidi kuvaa kulingana na mazingira na wakati.. but its too bad wengi wao wamekuwa wakikurupuka na kukosea kile wakivaacho....?? kwanini umevaa? ni wakati gani sasa na uko wapi? zingatia uchaguzi mzuri wa rangi na vazi kama Bi dada hapo juu..
Cha zaidi.. unapaswa kutambua aina ya vazi na wakati wa kulivaa.. si lazima kuvaa nguo pana kwasababu ni mwezi mtukufu... Ila vaa nguo inayoficha maungo yako na kukufanya kuwa confortable popote utakapokuwa..
RANGI: kila ngozi ya binadamu ila rangi zake ambayo inaendana nayo.. zingatia rangi yako na eneo uliopo.. si vizuri kuvaa rangi kali wakati wa mchana, na si vema kuvaa rangi zinazopiga kelele kwa wakati wa usiku ukiwa wewe ni mweusi...
NOTE: nakubaliana na rangi aliyovaa zamaradi.. imezingatia mazingira ya Kipindi Cha Toba.. imetulia kwa wakati wa jioni na imemfanya kuonekana more confident!! am keeping her into a fashion house this Week!!
mdada kapendeza,na mwezi mtukufu huo!? we acha tu! keep it up!
ReplyDelete