Wednesday

It was the best when it cames to Pamba... watu walipendeza mbaya...


kim karadashian wa bongo.. aka JK

i cant breath nikiitizama this pic.. she is so sexy in here!!

hot mwanvita makamba......

mbonie masimba looking hot with her african hair do

Miss tz namba mbili kwa mwaka juzi Slyvia mashuda. amenoga kuliko hata wa mwaka huu.. ahahaha am kidding

Urshers walivalishwa na ali rehmtulah

Evon alinoga ile mbaya.. nitajieni jila la hii dress...

kimwana elsi.....

Daxx na kijana mwenzie wa cloudsfm

slyvia shari and torry!!

cute britter and a friend......

Linna, Martin and mwasiti...

1 comment:

sema tukusikie