Monday

Yenara kitchen party!! hii ni party 1...zingine zinafuata

Yenara kitchen party!! Beauty,hair, make up and fashion design's done by Martin


mapambo ya kuridhisha na inafaa yakikaa kiafrika zaidi... ni mambo ya jikoni kwa sana katika kitchen party....

Kwa afya Bi harusi mtarajiwa anapaswa kupata nafasi ya kuteta na matron wake pindi aonapo kadosari kadogo dogo kanajitokeza.... Yenara alitumia vizuri nafasi yake ya kuteta na matron wake


ukitaka shughuli yako iwe nzuri hakikisha maandalizi yanafanyika mapema ili kupata chakula chenye kiwango bora na radha tamu, kumbuka hii ni siku yako maalumu lazima ikumbukwe....


Mama mzazi wa bi harusi mtarajiwa akikabidhi sanduku la mama kwa binti yake.....


Kambi ya CRDB ikionesha uwezo wao katika shughuli ya Yenara... ni madola yalimwagika ukumbini hapo..

matron wa bi harusi mtarajiwa akipata picha ya pamoja na wafanyakazi wenzie waliojumuika katika kitchen party hii......

baada ya kuparty na kupata somo kutoka kwa akina mama... bi harusi mtarajiwa anapaswa kwenda kujipunzisha kwa ajili ya siku ya kuangwa rasmi na familia yake yaani send off day!!

4 comments:

  1. Anonymous04:06

    oyaaa ushaanza kwenda kwenye kitchen patty mwanaume mzima...

    ReplyDelete
  2. kuna tatizo? hu is a dj on kitchen party? mwanaume... camera man mwanaume...waiters wanaume.. umeambiwa katika kichen party kuna nyeti zinatolewa so ukienda mwanaume na wewe utapewa? try kuelimika na kujifunza kuheshimu kazi ya Mtu.

    ReplyDelete
  3. Anonymous02:18

    kwa iyo we dj au mpiga picha au mhudumu tabia za kichoko kua model wa ukweli sio model wa kitchen party vingine waachie wengine jombaa utaanza pakatwa

    ReplyDelete
  4. Anonymous03:39

    jamani mbona huyo mwanaume mi simuoni? au mna maana yenu kusema hivyo. tujuzeni jamani tuelewe

    ReplyDelete

sema tukusikie