Wednesday

Most Talented Family!!


Young talented Diva Willow smith!! na mamie Jada!!




kuanzi baba, mama mpaka watoto wamebarikiwa Vipaji!! will smith nakuonea wivu honestly!!


Willow and Jada

1 comment:

  1. Anonymous03:52

    usimuonee wivu, hivyo vipaji vya kuforce hao wazazi hasa mama anatimiza ndoto zake yeye binafsi watoto wakikua watakujakusema. utantafutaa.... unisute!
    anawapotezea childhood yao, Will mwenyewe alianza usanii mdogo sababu ya shida tu!

    ReplyDelete

sema tukusikie