Monday

Special 10-10-10 with my people


Organizer wa safari yetu kisiwani!!


dada mkubwa Remmie


niseme nisiseme???

Killing me softly...


Senorite.... kanang'aa haka katoto

Mwenyewe anakuambia huwa haendi GYM kula pipi!!

girl at the middle kazaliwa kupendezesha dunia!!

Let me admit ... napenda picha sana tu!!

miwani plus attitude bab weh!! utawataka watoto wakike hawa?


naipendaaaa sana hii

me and Gilsaint!!

Yaani ukikaa na hawa jamaa utacheka mpaka basi!! hapa wapo ndani ya mtumbwi.. wengine wanaogopa maji but kuona camera kila mmoja akajishebedua kwa pozi lake!!

Hi ya blue ni Skarf au mtandio??

great loccation for the great people!!

loving these girls..!!

Vijana wa kazi!!

4 comments:

  1. DUH 10.10.10 ILIKUA FUNDAY.... SIO SUNDAY... SWAGGA BAIBIEE

    ReplyDelete
  2. Anonymous18:22

    hicho kijikoti vipi mlikuwa mna pokezana au? mara wewe mara yeye mara yule aaaaaaaaaaaaaaaaau dah aibu

    ReplyDelete
  3. Anonymous06:29

    wajanja wabongo sio? mbona zenj ni joto sana na hicho kijumba ilikuwaje maake mwapokezana ka mpira wa kona

    ReplyDelete

sema tukusikie