Monday
R.kelly azungumzia project ya "One8"
“I love projects like this . As I hear the music of these artists and meet them in person I can feel myself connect. Somehow I can feel the excitement and adrenaline through them and then the ideas and everything around this track just comes together. This is probably one of the greatest things I have ever done, I can just feel it in me.”
from me: nafikiri hii ni bahati ya pekee aliyoipata Alikiba na ninamuombea kwa Mungu huu ndio mlango wake wa kumfanya we mwanamziki wa kimataifa zaidi na mziki wake uweze kufika mbali!! Tanzania na Africa kwa ujumla tunajivunia wasanii wetu kufanya kazi ya kimziki na msanii mkubwa wa dunia.. hii inanikumbusha siku niliyokutana na Naomi Campbell na kufanya nae kazi.. toka siku hiyo maisha yangu na personality yangu imebadilika.. Alikiba itumie nafasi hii vizuri.. mvutokwanza tunakusupport!!
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie