Thursday

BREAKING News!! RACKAZ they are back!!



Likiwa ni kundi linaundwa na mafahari wakubwa wawili Mo racka na Quick Racka na wengineo, jana wameidhihirishia Tanzania kuwa wao ni kitu kimoja always no matter how many difficult times they face together!! baada ya kitambo kirefu cha kufanya kazi kila mmoja kivyake, jana katika uzinduzi wa Young dee ndani ya maisha Club walisimama pamoja na kuimba pamoja katika jukwaa moja, hii inamaanisha mziki wetu unakuwa na vijana wanatupilia mbali beef zisizo na mpango.. mvutoKwanza inawapongeza sana maana hii ni habari nje ya kufungia mwaka!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie