Kiwalo cha mboni kilikuwa balaaa
Venture, myler with B12
Cute Fatma with her friend
Mi pendaga this dada.....
with my boss......Nuru the Light
Mai the sweetest alikuwemo ndani ya nyumba na mashoga zake.. watoto wavutaaaaaaaaaa.
With the Navigator
Si vibaya na mzee wa Mvutokwanza akijichanganya katika kikundi cha wanamvuto kwanza hawa
Vijana walijipanga....black looks good on them
Tusichana tuzuriiiiiiiii
Jokate me and Shadz......cant say a word here
Bijoux ndani ya nyuma na Ali kiba with a friend...rocking
I love them girls their more than lovers and more than sisters to me
Tukasakata rumba haswa tu.....
My dearest sister Marsha alikuwepo ndani ya nyumba.. loved kiwalo chake duh!!
sijui kuvaa ila nilijitahidi kung'aa in Black....
HEY NAPENDA BLOG YAKO SEMA NINA MACHACHE JUU YAKO.NENDA GYM YANI UMELEGEA MNO ATAKAMA MODEL ILA SIO KIIVO ALAFU MBONA KILA CONER UPO NA MADEM KWAN HUNAMARAFIKI WA KIUME
ReplyDelete