Saturday

Mvutokwanza Designs ndani ya Tanzania Red Riborn Fashion Gala 2010

Ni wabunifu wachache sana wanaoweza kubuni na kuvaa wenyewe kile walichokibuni...loved my lace shirt!!i killed it on my own way!!
Batiki imesahaulika sanakatika ubunifu wa tanzania.. turudishe heshima yake kwakuonyesha jinsi gani unaweza kung'ara with batik... hito ni batiki top dress ambayo unaivaa na skin jeans au stockings kama nilivyomvalisha model hutu.. unaweza kutoka hivi katika mialiko classic ya jioni..kama we ni mpenzi wa fashion... try to go out in Batiki top dress na utajiona jinsi unavyofeel proud to be a tanzanian....
High waist jeans with sexy batiki top to give you outstanding look.. it feels good kwa mwanamke kuuachia mwili wako kidogo..kitovu na mabega yana mvuto kwake... i love each and every design niliyoinyesha katika jukwaa la tanzania mitindo house!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie