Sunday

773 Ya cloudsFm tukianza na Leo tena!!

Ukiongelea Leo tena unakuwa unamzungumzia dina Marios maana yeye ndo brand manager wa kipindi hicho toka alipokipokea kutoka mikononi mwa Marehemu Amina chifupa... kamwe hakutetereka na amezidi kujipatia umaarufu siku hadi siku kupitia kipindi hicho.. so mwaka huu wanatimiza miaka saba ya leo tena na mvutokwanza inampongeza dina na timu yake nzima kwa kuleta mapinduzi katika burudani kwa njia ya redio!!
mavazi yao hawa dada yanaonyesha different Personality kulingana na segment walizonazo katika Show yao ya redio..... kama Sex and the city? Zamaradi so fashionable, dina ungepata miwani haapo ingekuwa balaa... wapi Geha wa kanga Moko?? dina anasema, "Ni miaka 7 sasa toka LEO TENA ya clouds fm ilipoanzishwa,wewe umekuwa msikilizaji wetu kwa muda sasa na msimu huu wa sherehe za miaka 7 tuna mengi ya kukupa.Ni shamrashamra zitakazodumu kwa mwezi mzima wa February ina maana ni kuanziatarehe moja wiki iyajo.Dina Marios pamoja na timu yangu nzima tunakukaribisha tusherehekee pamoja!!

picha kutoka I-view media!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie