Tuesday

Enzi hizo!! Uzuri asilia toka utotoni!! Jokate mwengelo

Asilimia kubwa ya mastaa wamekuwa wakificha picha zao za utotoni kutokana na kuona aibu kutokana na kuwa na muonekano tofauti na jinsi walivyo sana ila kuna baadhi ambao hawajali muonekano wao enzi hizo na sasa!! huyu hapa binti nimpendae kutokana na muonekano wake na taswira yake mbele ya jamii! anaweza kuwa na mabaya yake lakini kwa kutambua nafasi aliyonayo katika jamii anajitahidi sana kutunza heshima yake.. tangu utotoni alikuwa aking'ara kwa uzuri na mpaka hivi sasa bado anatishaaaaaaaaa!! hongera Jk kwa kushine since day one!

1 comment:

  1. Anonymous20:19

    she is sooooooooooooooo cute natamani nikingate mashavu ! kweli baelezee hao wanafisha picha zao za utoto na vipilipili vyao havija chanwa nywele heheheheeh

    miss migelo ni mzuri jamani mzuri ndani na nje kwakeli alie mpata ajiite anabahati atakuwa mami mzuri kwa watoto wako.

    love uuu miss migelo mmmchwaa yani leo umenifurahisha sana kijana wetu maana naangalia blog yako yani hata jina silijui> ngoja nitazame profile now

    miss black&yellow

    ReplyDelete

sema tukusikie