Thursday

Launching Party ya Kilimanjaro music Awards 2011 @ Double Tree

Kufungua pazia muite Elizabeth michael!! binti yangu wa shule ambae anapasua anga la kuburudani tanzania kwa kuwaacha watu na midomo wazi!!!
Apart from music...Amini he is my future nanihiii........
kikosi cha maangamizi ya starehe.. kushoto ni kamwene Hud,Silvia shari,Martin na Myler
Noel ndale, Jokate Mwegelo,Miss Tz Gen na Martin pembeni
Cute dress
nyinyi ni maswahiba???

Mwasiti..."Barnaba nilikuambia sipendi mazoea mbele za watu!! kuniandikia hiyo kisa pombe isiwe tambu" si unamuona B dozen anazuga anapiga picha kesho katika zilizomake headline utasikia hii kitu!! shauri yako
hivi hizi pozi za mwasiti na barnaba zilikuwa za camera hii au nyingine? naona pozi huku lakini macho huko!!
Make up artist wakutegemewa Rehema, martin Kadinda na Giver meena!!
Wala usiniseme gauni yangu fupi we sauda kazana kula tunyama hutu maana tutamu sana!! kwetu Clouds tunakula kila siku fanya mpango uje utanenepa!!
Martin kadinda, mwasiti almas na hamis mandi......
I love everything about Your style jamaa zangu but hiyo mikanda kuigeuza nyuma mbele ni swagger au? i dont see anything good about it!!
it has been long time toka nimekutana na Tayana!! was nice seeing her! looking fine!! kitu cha coloured juu kichwani kwa fashionista Penny na gauni la Lace... Hapana chezea yeye!!
kitu cha red carpet kiliwagusa wadada wazuri wa mjini!!
Penny ndani ya pure lace dress na mimi nina pure DnG tishert na dini la black diamond shingoni!!!! poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooa!
Chaz baba katikati na wadau walikuwepo kuhakikisha wanatoa support ya kutosha kwa Kilimanjaro!!
Kikosi kizima cha madada zangu, kushoto Hawa Ismail, Dina na kulia yupo Kimora Lee bila kumsahau Benny kinyaiya hapo kati!!
Anatambulika kama super model Myler na my dada Mboni masimba looking howt!!
Anapasua anga ya Fashion Bongo... bibie Marsha Seif... kitu cha pochi pembeni hapo... Yaani ni balaaa
Wengi wanamtambua kama Stara Thomas ila mimi nambatiza miss Elliot wa Tz akiwa na Chiiiiid Benz...
Apart from Music i can keep up with Fashion bana... Luiza mbutu!!

6 comments:

  1. Anonymous10:45

    nyc shots martin, n nyc updates on the fashion industry, do keep it up brothr, ric

    ReplyDelete
  2. Anonymous04:33

    kimora lee bongo,watangazaji wa tv jifunzeni kuvaa sijaona vaa yenu kabisa, watu wa kawaida mbona wanalipuka pamba, nyie hamjui kwa kweli sijaona mapigo yenu

    ReplyDelete
  3. Anonymous12:18

    gudyy ppple,guddy things

    ReplyDelete
  4. Anonymous12:10

    martin kwa nini huanzishi kuwauliza nguo zao wamevalishwa na nani ili tujue nani mkali wa nguo za mjini ana pamba za maana

    ReplyDelete
  5. Anonymous14:21

    kaka uwe unaenda kumfariji mara kwa mara mdogo wako mbona kama umemtelekeza?

    ReplyDelete
  6. Anonymous14:23

    kaka uwe unaenda kumpa faraja lulu mara kwa mara

    ReplyDelete

sema tukusikie