Tuesday

I suggest these to be 2011 Men hairstyles

Justine wavy boyband hairdo kama ningekuwa nimejaliwa nywele ndefu and not hiki kipilipili nilichonacho nisingekuwa nanyoa the way i do now.. ila kwenye nywele zao.. Moracka this can do Yo0u better!!
Rio try Adam Lampert spiked hairstyle...trust me you will look different!!
Lee Alexander McQueen was a British fashion designer known for his unconventional designs and shock tactics. McQueen worked as the head designer at Givenchy for five years before founding the Alexander McQueen and McQ labels.His haircut ilikuwa inanikosha.. different to our Tanzanian Designer!! we ally remhtulah acha hizo busy hair cut!!
hii ya Alexander inaitwa buzz haircut
You can sometimes go with this shag hair Cut kama ya Justine bierber kama umejaaliwa nywele nyingi na ndefu....
David Beckham Mohack,lets be honest with each other, wabongo we got Ugly mohacks!!! kama wacheza mdundiko wakizamani.. The real mohack si lazima kunyoa kabisa nywele zote pembeni. unaweza kuzipunguza kidogo na ju katikati ukaziacha nyingi.
Zac Efron Hii ni moja kati ya style za unyoaji ambazo wanaume wengi wenye mvuto duniani wametokea kuipenda.. inakupa muonekano wa kuonekana kijana na mwenye mvuto muda wote, if it happens you got a date and looking for a hair style this perfect for you!! the good thing about it is ni rahisi sana kuihudumia!!
Kama una nywele ndefu naunapenda kuhakikisha hazikusumbui mbele ya uso wako nakupa hii greasy look, ila kwa ushauri hii sio haina nzuri ya kunyoa kwa mawakili na madaktari kwakuwa zitakufanya uonekane un proffesional kama unavyopenda kuonekana!! hii ni moja ya style nzuri ya kuziweka nywele zako ndefu salama na kukufanya uvutie!!
Tom Cruise Sleek Medium Haircut Always this dude ananikosha when it comes to haircut!!

6 comments:

  1. Anonymous14:08

    Mbona Unaweka Picha za wazungu tu? sasa wewe Muafrika izo hairstyle Zina-apply? come on...kuwa mfikiriaji zaidi

    ReplyDelete
  2. Anonymous12:20

    hiyo style ya kwanza kabisa yani hata huyo morack sijui hana nywele za aina hiyo awe na style hiyo may be hadi aweke weave naturah hair zake hazitokubali hiyo style may be unambi mustafa hassanal sawa ama mwenzake yule mwembambaaaa mzee wa matai makubwa poa ila huyo morack big

    ice tea!

    ReplyDelete
  3. my dear ..kaka zetu wny nywele za kiafrika hzo style hawataziweza..labda..either way i lv you blog..!!

    ReplyDelete
  4. Anonymous05:04

    Aisee kweli kabisa.usilimbukenizwe sana na uzungu bora hata ungeweka kalikiti za Drogba. Nyie vijana wa so-called swagga siku hizi mnapitiliza sana. Kwanza kwann utuambie tuige. kwann usituambie tutunge style zetu wenyewe?

    ReplyDelete
  5. Anonymous10:16

    umenishangaza sana...nahisi ulijisahau....u du know that yo african rite????????????
    **WAZ TRYNA REMIND YOU, PEACE!!!!!!**

    ReplyDelete
  6. ndugu zangu mbona mnakuwa ni wafupi wa kuelewa? kwani kila nachoandika hapa nawalenga watu wausi tu tena watanzania? blog inaangaliwa duniani kote so either you like it or you dont thats my suggestion kwa mwaka huu wa 2011!! fungua blog yako na uweke hairstyle unazozitaka wewe!!

    ReplyDelete

sema tukusikie