Monday

New hit kutoka kwa Lady gaga to be released this february


Akielekea kuliteka soko la burudani duniani.. mwanamziki lady Gaga ameamua kuandika nyimbo mpya ambayo kwa mtazamo wangu nadhani itakuwaa inajibu maswali mbali mbali kuhusu uhalali waa jinsia yake... mengi yameongelwa ila hii track itatupa maamuzi ya kusimama wapi katika swala la jinsia yake...

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie