Thursday
Diddy,Cassie, Craig David, Naomi Campbell, Shaggy Party It Up In Miami
weekend iliyopita Diddy, Cassie, Craig David, Naomi Campbell, Shaggy, Will.i.am na wengineo wengi waliungana pamoja katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya DJ Erick Morillo ukumbi wa LIV in the Fontainebleau, ilikuwa ni party ya kufa mtu bana.. nashanga wabongo wengi tukisherehekea siku zetu za kuzaliwa wanashangaa.. hope one day mastaa wa hollywood watatimba in one of my personal event!! just hopes!
Wednesday
Beyonce akwepa Paparazi after announced dropping her father as her manager.
Entertainment rundown inareport kuwa Mwanamziki maarufu dunia Beyonce Knowles-Carter ameanza kukwepa vyombo vya habari baada ya kutangaza kuwa hataweza kuendelea kumtumia baba yake kama meneja wake, katika picha iliyopatikana hivi karibuni Beyonce ameonekana akiwa na body wake na sehemu ya sura yake akiwa ameifunika ili kuficha utambulisho wake....
Rapper Jim Jones akamatwa
Ikiwa ni moja wa ma rapper wenye kipato kizuri jana Rapper jim jones alikamatwa na police siku ya jana! sababu ya kukamatwa kwake ni kutokana na kuendesha gari akitumia licence ambayo ilikuwa suspended... License hiyo ilikuwasuspended ni kutokana na kuto kulipia tickets mbali mbali kama ilivyoripotiwa na NY Daily News.’
Police mmoja wapo inaripotiwa alimwambia Jim, “I don’t care how many records you sell, you gotta pay your tickets.
Lakini baada ya masaa machache alichiwa baada ya taratibu zote kufuatwa ili kurekebisha hitilafu hiyo!.
muda mchache baada ya kuachiwa, aliviambia vyombo vya habari kuwa... “I’m just an entertainer trying to make a living,” adding that the cops had been polite. “They showed me total respect. Every officer in there is a gentleman.”
Tuesday
Monday
Kili Music Awards 2011 "Fashion Police"
Rose ndauka (Actress) Kwa wadada wote waliokanyaga hii red carpet wewe ulipendeza tena sana ila uwa ulikuwa unaenda nalo wapi? mkutunza mtu wakati ukitoa tuzo? ungeomba mtu akushikie maana limekuharibia muonekano wako na pia heleni zilikuwa too much.. gauni tu lilijitosheleza!! ungepata tuhereni tudogo ungekuwa ni zaidi yao your among the best dressed kwa mwaka huu
Brand meneja wa Leo tena..uliitendea haki red carpet with your simple detailed black dress ila i think it was too long kwa mwili wako... ingfunika tu viatu bila kuburuzika ..
Malkia wa mipasho tanzania.. gauni lako nilikuwa zuri sana na uling'ara sana ila kiatu cha animal prints na pochi viliharibu kila kitu.. huwezi kuchanganya asian na Western always utakuwa wrong but mengineyo poa sana!! 70%
Colour for this dress was so perfect for our Mc of the night.. hata mshono ila ule mpasuo kuwa pale mbele ulipunguza uzuri wa nguo hii.. ingekuwa mbele ipo kama huku nyuma ungekuwa ulipendeza kuliko wote nadhani 90%
Geha Habibu ulijimwaga ndani ya Yellow colour.. its was so unique and ulistand out with this dress ukipata mialiko y harusi zinazokuhusu hii ndio aina ya nguo inayokufaa.
Wema Sepetu unalijua umbo lako hata vazi lako niliiendana na umbo.. nywele zilikuwa busy sana lakini ziliendana na vazi... great great 85%
perfect dress for the Red carpet mima 100% Wewe ndo ulikuwa kinara wa uvaaji kwa mwaka huu... many Congrats!!
Them Wakaka in simple looks!!
as Always bana.. sharobaro wanamuonekano wao.. this time uliwafunika masharobaro wote niliowaona ndani ya ukumbi...colour was all good in you!! 70%
What happened to you Ally? ulipania sana this Red carpet?? ungevaa that trouser and shoes with something simple juu like purple shart with plain leather coat ingekuwa poa sana na ungependeza nadhani kuliko wote... ila hapa ulikuwa too much...giving you 65%
Kwa wanaume waliovaa na kupendeza..Gerry was way too good for me!! yaani he had this gentle look in black suit na white shirt with them shades!! 95%
Rubern ndege unaifahamu fashion sema unazuga you dont care!! you understand the way of them colours in fashion.congrats!! 85% for rubern
hapana hapana Mpoki.. hata kama ni comedy when it comes to Red carpet tunataka kukuona mpoki and not comedian!! chachacha kweli katika red carpet??
Diva loveness Love..You was so good in this silk dress.. loved them shoes.. ulikuwa na muonekano wa tofauti!! 90%
Great look Shadee but with ungekuwa in silver shoes with hako ka pochi mkononi because your dress ina white flower na black colour in general.. so silver ingekung'arisha zaidi but well done 80%
with your personality was fine for me!! was the skirt too short?? yes it was but she rocked in her best way!! 80%
Classic and great look, iliyakamata macho yangu hii nguo.. nakumbuka katika runway ya fainals za kisura niiona hii nguo ikiwa imebuniwa na Dayana magese.. naona jokate kapata na yeye kopi yake.. thanx for the support kwa wabuunifu wa ndani!! kasoro ninayoiona ni ilihitaji mtu mwenye kifua kimejaa kidogo kwako pako flat kabisaa!! 90%
Am sorry this is was not all that!!....kimuonekano iko kawaida sana kwa mtu kama wewe Sauda ulipaswa kung'aa zaidi and zaidi the dress imekaa kitoto!!
Great look ila am not happy with the shoes mamie!! ungeweka high heels ndefu iliyowazi mbele japo kidogo ingekuwa poa sanaa 70%
Muhimu::
Ikumbukwe fashion Police sio kwa ajili ya kuumbuana bali kuonyeshana pale tulipokosea ili kesho tusikosee tena... dont take it too personal!