Monday

Kili Music Awards 2011 "Fashion Police"


Rose ndauka (Actress) Kwa wadada wote waliokanyaga hii red carpet wewe ulipendeza tena sana ila uwa ulikuwa unaenda nalo wapi? mkutunza mtu wakati ukitoa tuzo? ungeomba mtu akushikie maana limekuharibia muonekano wako na pia heleni zilikuwa too much.. gauni tu lilijitosheleza!! ungepata tuhereni tudogo ungekuwa ni zaidi yao your among the best dressed kwa mwaka huu
Kim K was in perfect dress for the red Carpet 85%

Rahma mke wa Hashimu Lundenga.. poa poa in red ila rangi ya nywele sio kivile!!
Mwasiti in Ally remtulah Designs!! aliwaka vya kutosha 90%
different colours ila muonekano mzuri na wakupendeza 85%
Brand meneja wa Leo tena..uliitendea haki red carpet with your simple detailed black dress ila i think it was too long kwa mwili wako... ingfunika tu viatu bila kuburuzika ..
Malkia wa mipasho tanzania.. gauni lako nilikuwa zuri sana na uling'ara sana ila kiatu cha animal prints na pochi viliharibu kila kitu.. huwezi kuchanganya asian na Western always utakuwa wrong but mengineyo poa sana!! 70%
Colour for this dress was so perfect for our Mc of the night.. hata mshono ila ule mpasuo kuwa pale mbele ulipunguza uzuri wa nguo hii.. ingekuwa mbele ipo kama huku nyuma ungekuwa ulipendeza kuliko wote nadhani 90%
Geha Habibu ulijimwaga ndani ya Yellow colour.. its was so unique and ulistand out with this dress ukipata mialiko y harusi zinazokuhusu hii ndio aina ya nguo inayokufaa.
Models mliitendea haki Red carpet kwakweli....Myler 90%
More than Adorable 90% giver
Wema Sepetu unalijua umbo lako hata vazi lako niliiendana na umbo.. nywele zilikuwa busy sana lakini ziliendana na vazi... great great 85%
Lulu ulipendeza sana.. its good kufunika maungo yako kuliko vile ambavyo huwa unayaachia 85%
perfect dress for the Red carpet mima 100% Wewe ndo ulikuwa kinara wa uvaaji kwa mwaka huu... many Congrats!!


Them Wakaka in simple looks!!

Just okey!! 50%
Ushauri wa wabunifu unasaidia sana.. Antonio alipendeza sana tu 85%
as Always bana.. sharobaro wanamuonekano wao.. this time uliwafunika masharobaro wote niliowaona ndani ya ukumbi...colour was all good in you!! 70%
What happened to you Ally? ulipania sana this Red carpet?? ungevaa that trouser and shoes with something simple juu like purple shart with plain leather coat ingekuwa poa sana na ungependeza nadhani kuliko wote... ila hapa ulikuwa too much...giving you 65%
Kwa wanaume waliovaa na kupendeza..Gerry was way too good for me!! yaani he had this gentle look in black suit na white shirt with them shades!! 95%
poa sana Cpwaa 80%
Rubern ndege unaifahamu fashion sema unazuga you dont care!! you understand the way of them colours in fashion.congrats!! 85% for rubern
hapana hapana Mpoki.. hata kama ni comedy when it comes to Red carpet tunataka kukuona mpoki and not comedian!! chachacha kweli katika red carpet??
John makini... umetisha mbaya !! 80%
J mo!! much respect to you!! 85%
Them ladies in short dresses
Asma... unaijua fashion kwa mtizamo wangu... its all fine 85%
Tayannah Your now coming back to the fashion World.. loved your look!!
Diva loveness Love..You was so good in this silk dress.. loved them shoes.. ulikuwa na muonekano wa tofauti!! 90%
one of them fashion lovers!! Marsha ilikuwa poa colabo ya purple na blue!! 80%
So okey!!! from miss Tanzania in Khadija mwanamboka Design!! fine!! 80%
kitenge na mng'aro poa sana.... as a fashion Designer Farha hujanidissapoint!! 85%

Great look Shadee but with ungekuwa in silver shoes with hako ka pochi mkononi because your dress ina white flower na black colour in general.. so silver ingekung'arisha zaidi but well done 80%
with your personality was fine for me!! was the skirt too short?? yes it was but she rocked in her best way!! 80%
Kabula u rocked 85%
great look ikiwa ni gauni fupi 75%
Classic and great look, iliyakamata macho yangu hii nguo.. nakumbuka katika runway ya fainals za kisura niiona hii nguo ikiwa imebuniwa na Dayana magese.. naona jokate kapata na yeye kopi yake.. thanx for the support kwa wabuunifu wa ndani!! kasoro ninayoiona ni ilihitaji mtu mwenye kifua kimejaa kidogo kwako pako flat kabisaa!! 90%
Am sorry this is was not all that!!....kimuonekano iko kawaida sana kwa mtu kama wewe Sauda ulipaswa kung'aa zaidi and zaidi the dress imekaa kitoto!!
Great look ila am not happy with the shoes mamie!! ungeweka high heels ndefu iliyowazi mbele japo kidogo ingekuwa poa sanaa 70%

Muhimu::
Ikumbukwe fashion Police sio kwa ajili ya kuumbuana bali kuonyeshana pale tulipokosea ili kesho tusikosee tena... dont take it too personal!

20 comments:

  1. Anonymous13:29

    i like this Martin...at list unawasaidia masupastaa wetu....almost yote uliyoyasema ni kweli..tena mtu kama sauda mwilima inabidi ajifunze sana kuvaa huwa anakosea sana kuvaa vitu vya ajabu...please Sauda badilika wee ni maarufu sasa.... thanx Martin 4 being creative na kuwa fashion police Sauda u get 5%.

    ReplyDelete
  2. Anonymous02:24

    ckupenda shati uliyovaa pia hayo marangi rangi blue white and red ahah. miller hair style unatakuwa kubadilisha sioni kama inakupendeza sana,

    ReplyDelete
  3. Anonymous02:24

    Okey its great umeonyesha maono yako kwa upande wa bongo super star ilikuwa mbaya sana hakuna hata ambaye ameweza tenda haki than the Lady with a yellow dress with kitenge.Swalani kwamba watu wamezidi sana kupenda maisha artificial na hili ndo linalo wanagusha na kuonekana hawana thamani mbele ya macho yetu ktk jamii.Tukija kwako kaka Martin unapenda sana Camera jaribu kujitambua na kuweza kuvaa vizuri.Sijawahi vutiwa na uvaaji wako.nilisha kuona kwa harusi umevaa jeans na KILI M A umevaa shirt sijui haikupigwa pasi and its look too cheap,nao mkanda and also take a time use natural product to make you black skin to shine.Mtazamo

    ReplyDelete
  4. Anonymous05:42

    thank tin? am so happy of kili awards

    ReplyDelete
  5. Anonymous12:59

    Nguo zili pendeza, ila hayo maumbo kwakwlei wengi walilazimisha, unene mwingi, yani kila dmeu ni yuko boop , kibonge hata nguo hazi wapendezi.

    Na huyu Mshamba sijui wa wapi eti kabeba maua , yani nilishangaa kumuona CPwa ame pewa maua nikajiuliza kwani hii ni mashindano ya urembo, kumbe huyu mshamba kaja nayo toka home kwake akidhani ni utavalishwa na crown ukishinda tuzo.

    ReplyDelete
  6. Anonymous03:25

    ur very wrong about Gea yeye ni mkubwa kimwili kizungu wananita curve sasa ile haikuwa nguo sahihi kwake kwani anazidi kuonekana mkubwa, bright colours pia humfanya mtu aonekane mnene zaidi hivyo it wa all wrong for the event nakama ulivyosema ni nguo nzuri zaidi kwa harusi

    ReplyDelete
  7. i love the review martin Note one thing though this stars have to start being aware and embrassing the work of stylist,the red carpet look was great but would have looked more fabulous if most of them tried to be them selves other than trying to copy a look ad say the look of the day goes to Vannessa ad give her 100% she is herself and expressed her personality too short?for red carpet and her petite figure she rocked it.
    Gyvermeena was elegant in all ways kinda like a young African Nicole kidman.
    Ally was all the way and l loved the look not most men are that daring.

    ReplyDelete
  8. Anonymous04:49

    Jamani sauda mwilima sijui yuko dunia ya gani uwiii sijawai kumuona kapendeza huyo dada sijui hana washauri??? na huo mkorogo na poda anavyoijazaga usoni sasa ndo kabisaaa anakuwa kama kinyago flani lol!! usupastaa kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  9. Anonymous05:21

    I agree witchu abt ROse ndauka,and I also think the hair was too much...i mean,she has a pretty face,why hide it with the hair..**FashionistaRR**

    ReplyDelete
  10. Anonymous06:08

    picha ya Penny ya mwisho...it's a total disaster,a skinny tall person would look great on that,she looks like an eggplant stuffed in some ridiculous piece of clothe,it makes her look fat..and the shoes,yuck!what were you thinking gurl,n too much accesories kwa mtangazaji jamani,not comfy...bottom line everything was just so wrong! NO haTE,just opinion...***FashionistRR**

    ReplyDelete
  11. Anonymous06:28

    SAUDA MWILIMA daaah,hata sijui nisemeje,sijui ndo haendi na fashion,sijui hajui,au she doesnt care maana that outfit haina uhusiano kabisaa,chini ana sunny/summer shoes,juu sketi,she is sooo 30yrs ago,no offense...
    Salma msangi.that dress lipo lipo kama halimtoshi,shez got great body,why not rock it...that girl in khanga skirt,shez so rocking it n yees it is very short,so what?ila i gat issues with the top,It is displaying too much,wrong hair ,wrong makeup,ok shoes..
    Jamila,that clutch is too BIG jamani..
    Wema..cute dress,the hair is elegant at all..
    Mwasiti..red carpet na kikoti,dar hamna baridi,the kikoti was unnecessary waste of kitenge..
    Remtullah!I gat mad love 4 u n yo work,but that outfit,sio kabisa,the whole thing looks gayish(much respect to all gays)..imemtoa hips kabisa,kishati kimeshepu,boots high heels daah!kweli ulipania!!....
    ###mawazo tu###
    ***FashiniStaRRR**

    ReplyDelete
  12. Anonymous06:48

    Asma..kapooza sana,not a great look at all,hereni ni too much,gauni la kizamani..
    Kabula..the shoes dont go with a dress like that,fashion za nje za wenzetu,they usually pair them with some leggings,leather pants au skinny jeans,not with a dress,viatu vina kamba ivyo jamani..
    n yess miller na wema,hizo hair styles ni za kuendea rusha roho sio red carpet...
    alafu i have noticed most of the ladies are wearing too much accessories,mibangili,mihereni mikubwa saanaa,mapete...accesories nying hazipendezi,red carpet keep it simple..
    Lizzy/lulu...i have never seen her looking so decent,ladish n clasy...she looks better here kwa kweli..
    Upande wa Gents jamani,naomba mnisaidie...wasnt that suppose to be more of a suit day,elegant black suits,ila naona vituko...anyways Jo makini,Jmo,CPwa,Gerry na Antonio,walijitahidi...am not gonna say nothing kuhusu masharobaro wetu afterall wao ni masharobaro lol..
    ***FashioniStaRRR***

    ReplyDelete
  13. Anonymous03:36

    thnx martin for what u did..good work,
    ila kiuungwana red carpet sio kuvaa kiboyish kama jack whoper pia sauda jaman hizo ni nguo za harusini,,,diamond too much kuwaka ...jokate ...nguo haijaendana na mwili kabisa...martin wewe pia hujaridhisha,,,,,,Joh makin kama anaenda kushoot video...NAONA RED CARPET NI KUVAA KI GENTLE NA DECENT

    ReplyDelete
  14. Anonymous05:53

    Martin me nakusupport 100% ila i wish the so called masuperstar wa TZ wote waone hizo comment zako ili ziwe funzo kwao. Jamani sauda me namshangaa wanadai ni best friend wa Maimatha sasa je huwa hawaakosoni maana kama we are friends then hatuambiani ukweli ni unafikia maana uyu Sauda si kwa ubaya but hana shughulini wa kawaida mtaani anachovaa huwa simuelewi jamani. kitu kingine masuper star wa bongo wanajiona wazuri kuliko uzuri walionao hilo nalo pia ni another tatizo. ila duh bado wapo nyuma sana na pia wapunguze kupania.

    back tu you martin mavazi yako siyaelewi nikashangaa umemsema all lemtulahh wakati na wewe ulitoka ovyo. ila ally nae men na kipochi??????????????

    ReplyDelete
  15. Anonymous04:06

    WENGI WAO WAMEPENDEZA...MARTIN JAY MO KAPENDEZA ILA KINEMBO CHA SUTI KATIKA MKONO WAKE WA KUCHOTO HUWA KINATOLEWA...UKIVAA SUTI...HICHO KINEMBO NI LAZIMA KISIWEPO

    ReplyDelete
  16. Anonymous14:30

    martin was supervising ushers dat dat na hyo ilikuwa uniform jamani its Esi

    ReplyDelete
  17. Anonymous03:03

    rose ndauku, mima and elgiver all wore Mustafa hassanali...www.mustafahassanali.net... you need to give due credits to all those celebrities and their designers.

    ReplyDelete
  18. Anonymous06:32

    kweli sauda mwilima hapana huyu dada tangu nianze kumfahamu au kumwona sijawahi ona kapendeza huwa anaboronga tu sijuii anashida gani hajijulii kabisa hivi hawaoni wenzeka wanavyopendeza?

    ReplyDelete
  19. Anonymous06:09

    One of the Nice session ya kuwa direct ma super star on how to look good zaidi na kwenda na Fashion. Congrats!!!!

    ReplyDelete
  20. Anonymous06:10

    Hahahah....Mpoki nawe uache Masihara, Chachacha??? ulistahili Viboko!!

    ReplyDelete

sema tukusikie