Thursday

them moments!! My 24th Birthday get together!!

Thank You Icky kwa keki hii.. sikutegemea, you touched my heart!

Thank you Khadija mwanamboka for this!!
Thank you sasha kwa kufungua Shampagne!!
Lovely sarah joined me!!
Saadah and Rio kwa mbali.....
Shamim mwasha from 8020fashions alikuwepo!!
Thank you Mustafar....
thank you my dearest Marsha kwa shampagne!!
our TMH blogger...
nakupenda sana dada yangu khadija, nashukurukwa kwa aweet keki ya chocolate!!
one of them friends.. ndio aliyeniletea hiyo keki kubwaaaaaaaaaaaaaaa..
Thank you bro... wewe ni pure katika rafiki nilionao!!
enjoy kijana!!
utamu wa keki Gil au mbwe mbwembwe hizi??
kula mtoto mzuri maana sikumbuki mara ya mwisho ni lini ulikula keki tamu kama hii!! ahahha kidding!!
Yes bro.... i remmember zote days in zambia, Uganda and zimbambwe
My kid bro Ombeni, Eddie, martin and Meddy!! love you guys!!
Choka kwa kupenda watoto wazuri ni balaa........
Mad love with our red Colour!!
tabasamu la shoka kila uso kasoro haka ka Ombeni.. ulikuwa unataka keki tena?
Sadaah...Rio kwa mbali.. taji, myler na Noel the wacko jacko
My son choka,me,giver the super model na Gilsaint!!
MakuT, myler with Kelvin!!
New born baby, Herry Nasser with cute sasha!!
kumbe na nyinyi mlikuwepo? thank you very much!!
Choka cheza na camera zangu na studio yangu but not mke wangu.. nitakujeruhi!!

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie