Tuesday
Eminem ametajwa kuwa Msanii maarufu zaidi katika Facebook
Superstar wa Rap duniani Eminem Official ametajwa kuwa ni msanii pekee mwenye kupendwa zaidi katika facebook hii ni baada ya kuchukua nafasi ya marehemu michael Jackson ambae kwa kipindi kirefu alikuwa akiongoza kwa kupendwa...Eminem amechukua nafasi ya Lady gaga ambapo alikuwa ndio msanii pekee aliyehai mwenye kupendwa baada ya Michael jackson kufariki, mtandao unasema...."February his profile garnered almost 29 million "likes" from fans.
According to FameCount Online, only Jackson had more Facebook followers, until now. Eminem had surpassed the 30 million mark by Monday, March 14, leaving the "Thriller" legend trailing in second place with 29.8 million "likes"
Lakini umaarufu huu wa eminem katika Facebook haujaufikia wa Lady gaga katika twitter.. binti ana followers 8.7 million!! yeye ndo anaongoza kwa wanamuziki wote duniani ndani ya twitter kwa kuwa na followers wengi zaidi.... habari hii nimeiandika kwa msaada wa...World Entertainment News Network
No comments:
Post a Comment
sema tukusikie