Saturday

Studio moments with Wema Sepetu....

She one among the girls nimekutana nao through my Job and i think damu yangu na yake zilipatana na she has became a very good friend of mine!! i really like her!! she has this sexy voice!! yaani unatamani kumsikiliza muda wote...much love to you Wema
Beautiful voice with sweet body... najisikia raha kumkumbatia!!
I just dont know how this happened but nilijikuta nimefunga macho bana.. sijui ndo utamu wa kukumbatiwa!! i dont know!!
If nikiombwa nicahgue kitu gani binti yangu awe nacho kutoka kwa Wema sepetu.. nitachagulia lips zake.. mtoto analips nzuri kichizi.. imagine them lips zikikunong'oneza kitu masikioni??

7 comments:

  1. Anonymous14:14

    hahaha, shauri yako asusikie diamond

    ReplyDelete
  2. Anonymous02:26

    hahaaaa,martin napenda unajua kuzielezea hisia zako,nimekufuatilia katika picha nyingi unajieleza vizuri,hongera,nimekupenda kwa hilo

    ReplyDelete
  3. Anonymous14:09

    Yeah she z very beautiful bt very dangerouz,so b very careful man!

    ReplyDelete
  4. Anonymous14:10

    martin u lok gud na wema

    ReplyDelete
  5. Anonymous08:39

    make her your woman

    ReplyDelete
  6. Anonymous22:36

    u luk gud 2getha,she haz suffered a lot in love affairs,wish u can b her man for ril an lyf...mtazamo wangu tu

    ReplyDelete
  7. Anonymous05:37

    yah napenda sana site yako martin by the way huyo mtoto wema acha kabisa hatari tupu big up mama also am crayz with wema lips

    ReplyDelete

sema tukusikie