Tuesday

Style Moto Moto ya TMH kwa mwezi huu Inasherehekea siku ya Wanawake duniani..


Ikiwa ni mfululizo wa show kubwa tatu za mavazi... mwezi huu ukiwa ndio mwezi wa pili na show ya pili TMH inaungana na wanawake wote Duniani katika kusherehekea miaka 100 ya wanawake duniani... ni usiku wa tar 25 ndani ya ukumbi wa hotel ya Double tree by hilton.... ni kwa mwaliko maalumu tu.. tembelea tmhmitindo.blogspot.com kwa maelezo zaidi.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie