Tuesday

Bifu la Sharobaro lazidi kufukuta...Wema Sepetu naye ndani...


Ikiwa ni siku chache tu toka diamond abadilishe jina kuepuka makuu na Bob junior bado choko choko za vijana hawa zinazidi kupamba moto. jioni ya jana habari zilizopatikana ni kwamba Bob junior ametangaza kuwa Diamond ameshuka kimuziki hivyo ameamua kutembea na Wema sepetu ili kurudisha jina lake.. baya zaidi amesema kuwa huyo Wema sepetu ni malaya tu so Diamond hajapata lolote... Kisanga kikazidi zaidi baada ya Wema sepetu kujibu shutuma za Bob junior katika kipindi cha movie leo kinachorushwa cloudfm kila asubuhi, Wema anasema" kwanza who is sharobaro??? kwanza hata mazoea naye sina.. why bifu zake za kuime na Diamond aniingize na mimi msichana? au ana wivu na mimi alikuwa anamtaka yeye diamond??
Sikiliza interview ya zamaradi na Wema sepetu hapa...


Haya kwa much updates tembelea http://www.zamaradimketema.blogspot.com/

6 comments:

  1. Anonymous08:11

    kazi kwelikweli.. wema yuko up sharobaro yuko downthere.. thats nice to hea

    ReplyDelete
  2. Anonymous14:41

    HUYO SHAROBARO KWANZA HAJUI MAANA YA SHAROBARO NDOMANA AKILI ZAKE FINYU WATU WALA HATUMJUA TUNAMJUA WEMA NA MPENZI WAKE MZEE WA DIAMOND.WATU BWANA KWA KUTAK TU KUJIPA UMAARUFU

    ALAFU WEMA NAWEWE UMEZIDI KUBANA SAUTI JAMANI KAAA UTAFIKR HUJUI KISWAHILI YANI UNAKIBANA ILE MBYA KIZUNGU TU UNAONGE KWA MASHAUZI SANA !!!!

    ALAFU MARTIN WEKA PICHA ZA BESDAY YAKO TUONE BY DA WAY HAPPY BESDAY TO YOUUUUUUU ALAFU KUMBE UNA TU MIAKA 24 TU HEBU NIAMKIE KWANZA

    ReplyDelete
  3. Anonymous16:02

    Wote watatu wapuuzi, huyo wema mpuuzi,diamond mjinga na huyo sharobaro ndio mjinga kabisa. Ndio mana mnaambiwa elimu muhimu. Wema sauti acha kuibana unaongea kama mtoto huachi wewe ndio maringo gani?.

    ReplyDelete
  4. Anonymous00:33

    Huu niushaur wa bure 2 hauhitaji payment yeyote,huyo anaejiita sharobaro ni kias cha kufanya mambo yake ya maana na sio kuanza kufuatilia maisha ya watu cz ye ni m2 mzima sasa aache mambo ya kitoto mwisho atapoteza mashabiki bure kisa upumbumbavu wake.na huyo Diamond akae na mkewe wapange familia na maendelen

    ReplyDelete
  5. Anonymous02:05

    hey guys, hawa wanao jita mastaa wa bongo wana mambo sana hivi huyo dimond na huyo baro baro ni star jamani na huyo wema anaejifanya mzungu hana lolote tobwe tu mshoboko nikisema niweke picha zake hapa atakimbia TZ usizingue watu wema huna lolote ni mimi jay nadhani unanifahamu ni nani sawa

    ReplyDelete
  6. Anonymous05:15

    wema acha hizo mpe penz kijana muzae watoto ninyi ni mtu na mkewe achana na mambo ya kashfa kila kukicha ni magazetini 2?

    ReplyDelete

sema tukusikie