Wednesday

Queen and King wa Bongo Kwai

























Unajua Bongo Kwai? ni mchanganyiko wa bongo Flava,Techno na afro pop kwa pamoja amabpo hapa bongo Producer wa kwanza kutengeza haina hiyo ya music ni tuddy wa Ngoma record.. jana nilipata nafasi ya kutembelea studio hizo za Ngoma records ambapo tuddy aliniambia kuwa amekuwa akifanya aina ya muziki inayoitwa Bongo kwai amabpo kwa tanzania wasanii pekee waliofanikiwa kuiteka style hiyo na kufanya vizuri zaidi ni mwasiti na Marlaw.. producer huyu anasema Mwasiti ndio Queen wa bongo Kwai na Marlaw ndo mfalme wa bongo Kwai.. kama hujui aina hii ya muziki... sikiliza ngoma ya Pii Pii ya marlaw....na Sio kisa pombe ya Mwasiti

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie