Monday

She is Back.....on Covers

Kamwe binadamu hatuchoki kufanya kile tukipendacho.. Mwanamitindo wa Dunia Naomi campbell ndio amekuwa covergirl wa Vogue magazine ya june 2011 nchini Japan... I kinda like this cover

1 comment:

  1. Anonymous06:41

    mmmh hiyo nguo ameivaa beyonce kwenye gazeti moja la france kama cjakosea la'fele kitu kAMA HICHO EBU WANGETAFUTA LINGINE BWANA SARE SARE MPAKA KWENYE COVER

    ReplyDelete

sema tukusikie