Wednesday

Whitney Houston Is one of the reason I sing-Kelly Rowland

Mwanamziki kutoka katika kundi la Destiny’s Child ambaye kwa hizi sasa ameamua kufanya kazi zake amefunguka na kusema.. ukiachana na sababu nyinginezo.. msanii mkubwa wa RnB Whitney houston ni moja kati ya sababu kubwa zilizomfanya yeye leo hii kuwa mwanamziki.... katika talk show ya Elle aliyoifanya hivi karibuni anasema mara ya kwanza kumuona Whitney houston ni siku ambayo alikwenda kuhudhuria tuyo za Grammy's... anasema alishindwa hata cha kuongea kwa kweli... ukiachana na whitney houston Kelly pia alizungumzia nyimbo ya Chris brown, anasema “The song I have on repeat right now would probably have to be Chris Brown’s ‘Beautiful People.’ It’s such an amazing record. As soon as I hear it, I can’t stop moving. And I smile so big and it’s great when music makes you do that.” kaongezea kuhusiana na aalbum yakeya tatu iliyopo studio kwa sasa...I, of course, come from an urban feeling since day one with Destiny’s Child, but now, I’ve kind of opened up the sound a little bit and it has more tempo to it from dance. It feels great,”

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie