Friday

Gomez na Justin Bieber watafuna raha Beach

Justin Bieber akiwa kijana mwenye umri wa miaka 17 tu ameanza kuenjoy maisha zaidi ya hata wale wenye umri mara mbili ya umri wake!! hivi karibuni kamera za mapaparazi ziliwabamba wakiponda raha katika pwani Maui.

We justin mbona taulo limekuzidi umri? na Selena naona una kitu cha mnyama mkononi!!







1 comment:

  1. Anonymous02:47

    lakini raha haina umri nafasi ikipatikana unaziponda tu ndo maisha bwana!

    ReplyDelete

sema tukusikie