Thursday
Katika Wachekeshaji wa Bongo.. huyu ananimaliza
Nilikuwa sipendi Comedy hapo mwanzoni.. maybe nadhani kwakuwa sikuwa na muda wa kutosha kuangalia Tv au nikutokuwa interested na Comedy zetu za hapa nyumbani... maana wakati nakua nilikuwa naamini ma comedian wetu wahawezi kuchekesha kwa kuongea mpaka wafanye vituko kama kujidondosha ua kujipaka makorokoro.. lakini now nimeanza kufunguka na kuanza penda vilivyo vya kwetu.. i mean vya humu humu ndani.. sikuhizi nikiwahi kumaliza mishe mishe zangu huwa naangalia Original comedy na huwa naomba joti acheze kama Demu au mbabu.. kwa kweli ananikosha... sanaaaaaaaaaaaa yaani sana .. nikimuona nacheka mpaka basi.. nakumbuka kuna siku niliwahi kucheka mpaka nikalia..Joti aliigiza nagombea taji la umiss.. yaani Dah...Joti I respect You
aaaaaaaw jamani mie nampenda joti yani angekuwa mume wangu sijui kama tungegombana kila saa ningekuwa nacheka napenda sana anavyojifanya kitoto cha shule hahah ilove joti
ReplyDeletejoti mungu akupe umri mrefu tuendelee kucheka akupe na mafanikio ya uchekeshaji sio wale hao wahindi wewe uumie