Monday

Mchakato wa kusaka Vipaji waendelea ndani ya Fiesta 2011

Mwite Msami akiwa na mwana Mvutokwanza Ombeni Phiri....ndani ya jiji la
Tanga ambapo Tar 1 kulikuwa na ushahili wa kutafuta mastaa wa kudance ambao wataiwakilisha tanga ndani ya fainali za Jump Off Dance La fiesta mwaka huu
Presentar wa Jump Off Dance La fiesta Babuu na Ombeni
My girl Shadee na Star wa 69 record tv series
Majudge wa shindano hili... Msami kushoto,katikati Ni producer wa Step up Player na kulia Presenter wa XXL

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie