Tuesday

Amber Rose aibuka na Tv reality Show

Mwanamitindo maarufu duniani ambaye pia umaarufu wake umeongezeka baada ya kuwa katika mahusiano na mastaa wa mziki wakubwa kama Kanye West na Sasa yupo na Wizy Khalifa, Amber rose ameibuka na Tv show ambayo inakuwa inahusiana na maisha yake ya kila siku.. camera za wana habari zilimnasa Amber rose akiwa katika fukwe za Santa Monica akirekodi baadhi ya vipande vya show hiyo

Amber Rose ambaye anampando wa kufungua duka kwa ajili ya kuza miwani yake mwenyewe anasema

"katika kipindi hiki mtaona mlolongo mzima wa jinsi nilivyokuwa nahangaika katika kutafuta eneo kwa ajili ya duka langu, sio kazi ndogo kufungua duka na watu kuja kufanya manunuzi kwako, hiki kipindi cha Tv kitakuwa ni kitabu cha wazi cha maisha yangu ndo maana nakiita "nyuma ya kivuli changu" kuna mambo mengi ambayo watu hawayajui kutoka kwangu sasa ni wakti wao kuona na kunijua vizuri"

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie