Tuesday

Sijawahi Kumwibia Beyonce Fedha zake: Matthew Knowles

Baba mzaZI wa Beyonce ambaye aliwahi kuwa manager wa mwimbaji huyu ametoa taarifa kwa vyombo vya habari ambavyo nimeeleza Sababu ambazo zilimfanya Beyonce amfukuze kazi kama meneja wake, Mzee Matt anasema beyonce alidanganywa na watu kuwa baba yake huyu alikula hela zake za ile World Tour ya mwaka huu 2011.


Mimi Binafsi zidhani kama hii ndio sababu iliyomfanya Beyonce kumfukuza kazi baba yake, nahisi sababu kubwa ya kumfukuza baba yake katika kazi hiyo ni baada ya kugundua baba yake anatembea nje ya ndoa ya mama yake na amezaa nje hivyo alikuwa tu anatafuta sababu.

No comments:

Post a Comment

sema tukusikie